Monday, July 2, 2018

NEW QASWIDA BY SAID NAJMULLAH & AHMED NAJMULLAH

KUTANA NAO HAWA UIPATE LADHA YA QASWIDA
OH!!! MY GOD ILINIPA SHAUKU KAMA MTANGAZAJI
NAJUA ITAKUFANYA UPATE FARAJA KUISIKIA
KWA JINA .....SHUKRAN ...Pro.Stevin Maibobo Record

Saturday, June 30, 2018

New QASWIDA ZAWADI BY HASSAN ASADU LLAH &ALLY &IS HAQ

IMEKUJA KUVUNJA REKODI BAADA YA KUVUGUMIZWA QASWIDA ZINGINE
BAS ITOSHE WAUMINI WOOOOTE WANAISUBIRI KWA HAM  KUBWA
ITAKAPO TUFIKIA MTAIPATA WAKA MSIWE NA SHIDA
QASWIDA TAM ..................
MUNGU WALINDE VIJANA HAWA NA MABALAA

VP UKIJIUNGA NA MIMI

UNAPO ANGALIA QUALITY ZA DESIGN AMBAZO ZINAZO FANYIKA 
NDANI YA AR RASIKH DESIGN UNAWEZA KUIPA ASILIMIA NGAPI

OFA KWA WANA QASWIDA

AR RASIKH DESING INA WATANGAZIA 
WATU WOOOTE KUZIPELEKA KAZI ZAO 
KUFANYIWA KWA BAY NAFUUU

BOSS WA AR RASIKH ............
KATOA OFA UNAKARIBISHWA

Abdul Nasser intertainment

Inayo furaha yakuku alikeni kwenye ufunguzi mpya wa ushirikiano
Abdunasser.blogspot.com

Njo ujiunge nae daima